Kila blog inapoanzishwa huwa na malengo na makusudi ya kufikiwa. Tumeanzisha blog hii kwa nia ya kuelimishana namna ya uwekezaji wenye tija. Tunaamini kuwa kwa kupitia blog hii tutajifunza mengi na kufikia malengo yetu. Kila mtu huwa na malengo yake, malengo ya wengi hasa sisi vijana ni kuondokana na uamsikini. Tunawezaje basi kujikwamua na umasikini? Hili ni swali linalotegemewa kupata jibu katika blog hii.