Sunday, 13 August 2017

....Ukitaka kujua zaidi juu ya hii kampuni na namna ya kupata bidhaa zake au namna ya kujiunga nayo ili utengeneze pesa zaidi niandikie katika email yangu rafsann97@gmail.com.. nitakupa maelekezo zaidi...

KARIBU KATIKA PAGE YETU

Natamani tushirikishane katika fursa za kutafuta pesa wakati bado uko katika ajira yako ama kuongeza njia nyingine ya kujiongezea kipato.. Leo nakushirikisha moja kati ya makampuni makubwa duniani ambayo yanayojihusisha na kutengeneza bidhaa bora kwa ajili ya ngozi yako. Kampuni hii inaitwa ORIFLAME kutoka Swedeni... Bidhaa zinazotengenezwa ni za ubora wa hali ya juu na kwa kutumia vitu asili na zisizo na kemikali... Bidhaa hizo ni kama vile sabuni, manukato, bidhaa za nywele, mafuta ya ngozi, mascala, poda, na zingine nyingi kwa ajili ya kuifanya ngozi yako iwe na muonekano mzuri wa kuvutia..

Monday, 7 September 2015

NIA YA BLOG

Kila blog inapoanzishwa huwa na malengo na makusudi ya kufikiwa. Tumeanzisha blog hii kwa nia ya kuelimishana namna ya uwekezaji wenye tija. Tunaamini kuwa kwa kupitia blog hii tutajifunza mengi na kufikia malengo yetu. Kila mtu huwa na malengo yake, malengo ya wengi hasa sisi vijana ni kuondokana na uamsikini. Tunawezaje basi kujikwamua na umasikini? Hili ni swali linalotegemewa kupata jibu katika blog hii.